Abasirikare hafi 200 bakeneye ubuvuzi barimo aba Afurika y'Epfo, Malawi na Tanzania bari muri DR Congo mu butumwa buzwi nka SAMIDRC bavuye i Goma bambuka umupaka binjira mu Rwanda bajya i Kigali ...
Wanajeshi hao waliondoka Goma na kuvuka mpaka na kuingia Rwanda kuelekea Kigali kwa ajili ya kupata ndege za kuwarejesha makwao.
Takriban wanajeshi 200 waliotumwa na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) waliondoka katika mji wa Goma mashariki ...
Baada ya Kinshasa, Goma, Kigali, Nairobi na bara la Ulaya, ni zamu ya Lubumbashi, katika mkoa wa Haut-Katanga (kusini-mashariki), kupokea wajumbe wa Baraza la Kitaifa la Maaskofu wa Kongo (CENCO ...
WANAJESHI 200 wakiwamo Watanzania, wanaohitaji huduma ya matibabu walioko katika Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), kwa ujumbe unaojulikana kwa jina la SAMIDRC, wameondoka Goma kuelekea Kigali, ...
Tulifanikiwa kufika mpakani salama,” anasema. Walipofika mpakani, walifanya mawasiliano na ubalozi wa Tanzania nchini Rwanda, ambao uliwasaidia kwa kuwatumia gari hadi Kigali na ndio uliowasiliana na ...
Rwanda inakabiliwa na shinikizo la kimataifa kuhusiana na madai ya kulisaidia kundi la M23 ambalo tangu mwezi Januari limeikamata miji Goma na Bukavu mashariki mwa Kongo.
Goma. Kundi la kwanza la askari wa Jeshi la Ulinzi la Afrika Kusini (SANDF) waliojeruhiwa katika mapigano nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), limeanza kurejea nyumbani kupitia Kigali, ...
Ripoti ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa ilisema mwaka jana kuwa Kigali ilikuwa na takriban wanajeshi 4,000 ndani ya DRC na ilikuwa ... Takriban watu 350,000 wameachwa bila makazi tangu waasi ...
Uingereza imetangaza kusitisha msaada wake kwa Rwanda. Uamuzi huo umechukuliwa kutokana na mashambulizi yanayofanywa na waasi wa M23 ambao wataalamu wa Umoja wa Mataifa wanasema wanaungwa mkono na Rwa ...
Abanyarwanda n’Abanye-Congo, bavuga ko kongera amasaha y’umupaka munini wa Lacorniche ukoreraho uhuza Rubavu na Goma biri kuborohereza gukora ubucuruzi. Kuri ubu uyu mupaka wa Grande Barrière uzwi nka ...