Mkutano wa dharura wa wakuu wa nchi za jumuiya ya maendeleo kusini mwa Afrika umeagiza kutumwa mara moja kwa mawaziri wa ulinzi na wakuu wa ulinzi kwa nchi zinazochangia wanajeshi nchini DRC ...
Mabao hayakukauka katika kampeni zilizofuata na bao lao la kwanza kwa wakati muafaka ni katika fainali ya Kombe la FA msimu wa 2019/20 dhidi ya Chelsea ambalo liliihakikishia Arsenal ushindi. Mzozo ...
Naibu katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa(UN) Amina Mohamed ameipongeza serikali ya Tanzania chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kwa mkakati wa kufanya utafiti wa kina wa kijiolojia na ...
Makumi ya madereva wa Lori wamekwama nchini DRC baada ya waasi wa M23 kuteka sehemu ya mji mkuu wa Goma na kusababisha barabara kuu kufungwa. Mwandishi wa BBC Regina Mziwanda amezungumza na ...
Waziri wa Sheria wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC),Constant Mutamba amezungumzia Januari 6, 2025 huko Kinshasa kuhusu hali ya wanachama wa magenge ya mijini waliokamatwa na kuhukumiwa kifo ...