Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, FARDC, siku ya Alhamisi limewataka wanajeshi waliokimbia mashambulizi ya M23 ...
Likiungwa mkono na jeshi la Rwanda, kundi hilo lenye silaha la M23 linaendelea kupata nguvu katika mikoa miwili ya mashariki ...
Muungano wa makundi ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wa kundi la M23 wametangaza usitishaji mapigano wa kibinadamu kuanzia Jumanne.
MKUTANO wa wakuu wa nchi za Afrika kuhusu nishati ulihitimishwa jana Dar es Salaam. Tunapongeza hatua hii ya Tanzania kuandika historia Afrika kuwa mwenyeji wa mkutano huu mkubwa. Tanzania imeng’ara ...
Goma. Kundi la waasi wa M23 wanaotajwa kufadhiliwa na Serikali ya Rwanda wanadaiwa kuuteka Mji wa Goma nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) baada ya mapigano yaliyodumu kwa wiki kadhaa dhidi ...