Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, FARDC, siku ya Alhamisi limewataka wanajeshi waliokimbia mashambulizi ya M23 ...
Likiungwa mkono na jeshi la Rwanda, kundi hilo lenye silaha la M23 linaendelea kupata nguvu katika mikoa miwili ya mashariki ...