Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, FARDC, siku ya Alhamisi limewataka wanajeshi waliokimbia mashambulizi ya M23 ...
Likiungwa mkono na jeshi la Rwanda, kundi hilo lenye silaha la M23 linaendelea kupata nguvu katika mikoa miwili ya mashariki ...
BURUNDI: SERIKALI ya Burundi imekanusha taarifa za kuwaondoa wanajeshi wake kutoka mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ambapo wamekuwa wakisaidia jeshi la Congo kukabiliana na waasi wa M23 ...
Hatua ya waasi wa M23 kuuteka mji wa Bukavu ambao ni wa pili kwa ukubwa katika eneo la mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kunaonekana kulemaza juhudi za kikanda na kimataifa za ...
Waziri wa Mawasiliano Patrick Muyaya, alisema Rwanda inakiuka uadilifu wa eneo la DRC kwa nia ya kujitanua na bila kujali ukiukaji wa haki za binadamu unaoendelea. Alisisitiza kuwa serikali yake ...
SERIKALI ya Burundi imekanusha taarifa zinazodai kuwa inawaondoa wanajeshi wake kutoka Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo waliokuwa wameenda kulisaidia Jeshi la Congo kupambana na waasi wa ...
一些您可能无法访问的结果已被隐去。
显示无法访问的结果