Rais wa Rwanda Paul Kagame amesema amekubaliana na serikali ya Marekani juu ya haja ya kusitisha mapigano mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Licha ya tamko hilo kiongozi huyo hata ...
Mgogoro unaoendelea katika eneo la Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) umeendelea kuibua mvutano mkubwa kati ya viongozi wa Afrika, hususan Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Cyril ...
RAIS wa Rwanda, Paul Kagame amesema kuwa amefanya mazungumzo ya tija na Katibu wa Marekani Marco Rubio na kuelewana kuhusu hitaji la kuhakikisha kusitishwa kwa mapigani katika DRC Mashariki. Kagame ...
Hatua hiyo inajiri baada Rais wa Kenya William Ruto kumwalika bwana Tshisekedi na mwenzake wa Rwanda Paul Kagame kwenye mkutano huo. Na wakati vita vikali vikiendelea kati ya M23 na jeshi la DR ...
Waandamanaji mjini Kinshasa, nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ... Hasira zao zinaelekezwa kwa Rais wa Rwanda Paul Kagame, ambaye wanamtuhumu kuwaunga mkono waasi - shutuhuma zilizotolewa ...
Mkutano umepangwa kufanyika leo kati ya viongozi wa Kongo na Rwanda kwa mpango wa rais wa Kenya William Ruto ili kujaribu kutatua mgogoro huu mpya katika eneo la mpaka uliotikiswa kwa miaka 30 na ...