Ndani ya siku chache tu tangu kuundwa kwa M23, mapigano makali yalizuka kati ya jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa M23 katika wilaya ya Rutshuru.
Jumuiya ya kimataifa imeitaka Rwanda kuondoa wanajeshi wake nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na kusitisha uungaaji wake mkono kwa waasi wa M23 wanaosema kwamba wanalenga kusonga mbele hadi mji m ...