Mashuka yenye urembo wa maua ya kushonwa na rangi za kuvutia yameninginizwa pembezoni mwa barabara na nje ya nyumba kama uzio, ni ishara inayoweza kukujulisha kuwa umefika Kigoma. Ni katika mji ...
Hivi karibuni, mwandishi wetu Zuhura Yunus alikuwa mkoani Kigoma nchini Tanzania. Katika pita pita yake alikutana na mmea ambao awali, kwa kuutazama alidhania ni mbuyu. Hata hivyo, alipozungumza ...
WAZIRI wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro na Timu ya wataalamu wa msaada wa kisheria kupitia Kampeni ya Msaada wa ...
Baada ya Nipashe kutoa ripoti ya uchunguzi iliyoonesha ni kwa namna gani hali ya rushwa kwa askari wa usalama barabarani ilivyokithiri mkoani Kigoma. Jeshi la polisi mkoani humo limewashikilia askari ...
KIGOMA: WAZIRI Kivuli Ofisi ya Waziri Mkuu-Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira wa Chama cha ACT Wazalendo Mhandisi Ndolezi ...
Wastani wa watu 16 wakiwemo watoto wenye umri chini ya miaka mitano na wajawazito hufariki kila wiki moja kutokana na ugonjwa wa malaria ndani ya kambi ya wakimbizi ya Nyarugusu iliyopo ...