Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa litafanya mkutano wa dharura baadaye leo kujadili mzozo unaoongezeka mashariki mwa ...
Mji wa Goma ulio mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umekuwa tena kitovu cha mzozo wa kikanda uliodumu kwa miongo ...
Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na ...
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 ...
Waasi wa M23 wamesema wameukamata mji wa Goma mashariki mwa Kongo. Hakujawa na uthibitisho kutoka kwa jeshi la Kongo au ...
Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) imetoa wito kwa vikosi vya waasi wa M23 vinavyotajwa kuungwa mkono na ...
Umoja wa Mataifa (UN) umesema vita vya kuwania mji muhimu wa Goma, ambao M23 na wanajeshi wa Rwanda waliuteka wiki iliyopita, ...
Takriban wafungwa 160 wa kike walibakwa wakati wa tuko la wafungwa kutoroka jela huko Goma, DRC, afisa wa eneo hilo ...
KUNDI la waasi la M23, limesema wanajipanga kusonga mbele na kuuteka pia mji mkuu wa Kinshasa licha ya kufanikiwa kuteka mji ...
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limethibitisha kuuawa kwa wanajeshi wake wawili nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ...